Swali: Ni ipi hukumu ya mwanamke kutoka kwa sura ya mara kwa mara ili kuhudhuria kituo cha kuhifadhi Qur-aan na kuwatembelea ndugu ili kuunga kizazi. Je, kitendo hichi kinajuzu Kishari´ah?

Jibu: Ikiwa ana mke ni lazima apewe kwanza idhini na mume wake. Ni lazima apate idhini kwanza kutoka kwa mume wake. Ama ikiwa hana mume anaweza kutoka kwa sharti ashikamane na adabu za Kishari´ah. Ajisitiri, asijitie manukato, vicheko na wanaume na mfano wa hayo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Buluugh al-Maraam (35) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/blug–1431-08-08.MP3
  • Imechapishwa: 21/04/2015