Swali: Tumesoma kuwa ukimuona mtu anawapenda wanachuoni wa Ahl-ul-Hadiyth was-Sunnah basi ni mtu wa Sunnah. Je, hilo linatumika kwa wanachuoni wetu wanaofuata yale waliyokuwemo watangu wetu wema na kwamba mwenye kuwapenda ni mtu wa Sunnah na mwenye kuwasema vibaya ni mtu wa Bid´ah?

Jibu: Mwenye kuwapenda Ahl-us-Sunnah wakati wowote ule, hii ni alama ya kheri. Na mwenye kuwachukia, hii ni alama ya shari. Hili hutumika wakati wowote.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (18) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1427-11-13.mp3
  • Imechapishwa: 19/08/2020