Swali: Nilikuwa pamoja na Takfiyriyyuun na nina baadhi ya vijitabu ambavyo nilivichapisha kwa mali yao. Nivichanye au nivifanye nini?

Jibu: Himdi zote ni Zake Allaah ambaye amekutunukia tawbah na kurudi katika haki. Tunamuomba Allaah awaongoze na hao wengine, awarudishe katika usawa na awaongoze katika haki.

Vijitabu hivo vichane. Vilevile ni juu yako kuwalingania waweze kutubia na kurudi katika haki na kuwabainishia makosa huenda Allaah akamwongoza yule amtakaye katika wao.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (19) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1427-11-20.mp3
  • Imechapishwa: 19/08/2020