Nifasi yenye kukatika baada ya siku mbili

Swali: Mwenye nifasi damu yake ikisita baada ya siku moja au mbili aswali na kufunga?

Jibu: Ndio. Damu yake ikisita katikati ya nifasi kabla ya siku arubaini aoge na kuswali na kufunga. Damu ikirudi kabla ya siku arubaini akae na atimize siku arubaini. Yale [masiku] aliyofunga na kuswali ilihali ni mwenye twahara ni sahihi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (19) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1427-11-20.mp3
  • Imechapishwa: 19/08/2020