Mwenye kukaa I´tikaaf kutoka msikitini kwenda kumtembelea mzazi

Swali: Mwenye kukaa I´tikaaf kutoka msikitini kwa ajili ya kumtembelea baba au mama yake ikiwa ni mgonjwa?

Jibu: Jambo ni lenye wasaa. Ametoka kwa haja. Hii ni miongoni mwa haja. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akitoka kwa sababu ya haja.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23816/حكم-خروج-المعتكف-لزيارة-والده-المريض
  • Imechapishwa: 14/05/2024