Mwenye kufa kwa kuchomeka kwa moto na kwa damu ya uzazi

Swali: Mwenye kufa kwa kuungua kwa moto ni shahidi?

Jibu: Imepokelewa katika baadhi ya mapokezi ya kwamba ni shahidi yule mwenye kufa kwa kuchomeka. Aidha imepokelewa pia kwamba mwenye kufa kwa damu ya uzazi.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22936/هل-يدخل-في-الشهادة-موت-الحريق-والنفاس
  • Imechapishwa: 16/09/2023