Swali: Ni ipi hukumu ya mwenye kuiua nafsi yake kwa makusudi?

Jibu: Ni mtenda dhambi. Anatakiwa kuoshwa na kuswaliwa muda wa kuwa haoni kuwa jambo hilo ni halali.

Swali: Ikiwa anaona kuwa ni halali?

Jibu: Ikiwa anahalalisha jambo hilo anakufuru. Ikiwa anahalalisha kuwaua waislamu bila ya haki anakufuru.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22933/ما-حكم-قاتل-نفسه-متعمدا
  • Imechapishwa: 16/09/2023