Swali: Mwenye kufa kwa kuungua kwa moto ni shahidi?
Jibu: Imepokelewa katika baadhi ya mapokezi ya kwamba ni shahidi yule mwenye kufa kwa kuchomeka. Aidha imepokelewa pia kwamba mwenye kufa kwa damu ya uzazi.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22936/هل-يدخل-في-الشهادة-موت-الحريق-والنفاس
- Imechapishwa: 16/09/2023