Swali: Ni ipi hukumu ya mwenye kufa juu ya Tawhiyd ya Ashaa´irah kabla ya kufikiwa na Tawhiyd-ul-Asmaa´ was-Swifaat, hakusikia kwa yeyote na hakuisikia. Lakini hata hivyo amekubali Tawhiyd-ur-Rubuubiyyah na Tawhiyd-ul-Ilaahiyyah. Hakuna aliyemzindua na kumkataza. Je, mtu huyu anapa udhuru au hapana?
Jibu: Jambo lake liko kwa Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala). Ashaa´irah sio makafiri. Lakini wamekosea katika kuzipindisha maana baadhi ya sifa za Allaah.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (3/162)
- Imechapishwa: 23/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)