Swali: Je, inafaa kwa mtu kusikiliza Qur-aan akiwa na janaba?

Jibu: Inafaa kwake kusikiliza Qur-aan. Lakini asiisome mpaka aoge. Lakini kusikiliza tu hapana vibaya. Lakini asiguse msahafu na wala asisome isipokuwa baada ya kuoga.

Jibu: Hata kama ni nyuradi?

Jibu: Nyuradi haina neno. Lakini isiwe nyuradi kwa aina ya Qur-aan. Iwe nyuradi kwa aina kama ya ”Subhaan Allaah” na ”Laa ilaaha illa Allaah”.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22241/ما-حكم-سماع-القران-للجنب
  • Imechapishwa: 19/01/2023