Swali: Ni lazima kwa mwenye kutaka kusoma Qur-aan atawadhe?

Jibu: Hapana vibaya akasoma kimoyoni pasi na msahafu akiwa hana janaba. Kwa maana nyingine akiwa hana twahara asome kihifdhi.

Swali: Ni lazima kuwa na wudhuu´ kwa ajili ya kugusa msahafu?

Jibu: Ndio, ni lazima kuwa na wudhuu´.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22243/حكم-الوضوء-لمن-اراد-ان-يقرا-القران
  • Imechapishwa: 19/01/2023