Swali: Mwanaume kutumia zafarani.
Jibu: Mwanaume hajiweki zafarani. Zafarani ni kwa wanawake. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amemkataza mwanaume kujitia zafarani.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21938/حكم-استعمال-الزعفران-للرجال
- Imechapishwa: 12/01/2023