Mwanaume kuwasalimia wanawake

Swali: Vipi kuwasalimia wanawake?

Jibu: Vivyo hivyo kuhusu kuwasalimia wanawake:

السلام عليكن

”Amani ya Allaah iwe juu yenu.”

Vivyo hivyo kuhusu kuitikia salamu. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akiwatolea salamu naa wao wanamuitikia. Sioni ubaya wowote kuwatolea salamu.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31353/ما-حكم-سلام-الرجال-على-النساء
  • Imechapishwa: 23/10/2025