Swali: Ni ipi hukumu ya mwanamke kupaka rangi nyusi zake?
Jibu: Ni haramu. Haijuzu. Nyusi zinaachwa kama zilivyo. Hazipakwi rangi, hazichongwi, hazipunguzwi wala hazinyolewi. Zinaachwa kama alivyoziumba Allaah. Hazitakiwi kufanywa kitu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/eg–14041434.mp3
- Imechapishwa: 29/04/2023