Kuswali nyuma ya Ashaa´irah na Mu´tazilah

Swali: Je, inafaa kuswali nyuma ya watu ambao wana aina fulani ya madhehebu ya Jahmiyyah kama Ashaa´irah na Mu´tazilah kama mfano wa kupinga ujuu wa Allaah?

Jibu: Hapana. Ikiwa hakuna wengine zaidi ya wao, swali nyuma yao. Lakini kama kuna wengine katika Ahl-us-Sunnah hapo ndipo utaswali nyuma yao.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/eg–14041434.mp3
  • Imechapishwa: 29/04/2023