Mwanamke amebakwa na anataka kumsemehe mbakaji

Swali: Kuna bwana mmoja amembaka mwanamke akamzini. Je, inafaa kwa mwanamke kusamehe haki yake na hivyo asitekelezewi adhabu ya kidini?

Jibu: Adhabu ni haki ya Allaah, si haki ya mwanamke huyo. Kwa hiyo ni lazima kumtekelezea nayo muda wa kuwa imethibiti.

  • Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (46)
  • Imechapishwa: 27/07/2024