Mwanafunzi aanze kusoma somo la ´Aqiydah

Swali: Ni bora kutilia umuhimu kutafuta elimu kwa kusoma vitabu vya Hadiyth au Fiqh?

Jibu: Kinachotakikana ni kutilia umuhimu katika vitabu vya ´Aqiydah, kisha Hadiyth kisha Fiqh chini ya wanachuoni wanaojulikana. Mtu aanze kwa vitabu vya ´Aqiydah, na muhimu katika hilo ni Qur-aan Tukufu mpaka aweze kuifahamu ´Aqiydah juu ya Baswiyrah pamoja na kutilia umuhimu katika ´Aqiydah na Fiqh baadaye.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=14576
  • Imechapishwa: 05/05/2015