Mwaliko wa chakula pekee ambao ni lazima

Swali: Ni ipi hukumu ya kuitikia mwaliko wa chakula, kwa mfano wakati wa mwaliko wa chakula kwa ajili ya kufaulu mtihani au kuhitimu?

Jibu: Sio lazima kwenda katika mialiko hiyo. Kuitikia mwaliko wa chakula mbali na mwaliko kwa ajili ya harusi sio lazima.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (41)
  • Imechapishwa: 01/10/2023