Swali: Je, inafaa kufanya sherehe nyingi za karamu ya ndoa, kwa njia ya kwamba moja baada ya kukaa naye chemba na nyingine wakati wa kuhama naye katika nyumba moja?

Jibu: Hapana. Karamu ya ndoa inakuwa moja. Walima kwa mujibu wa Shari´ah ni moja. Zaidi ya hapo ni israfu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (41)
  • Imechapishwa: 01/10/2023