Magomvi yanapelekwa mahakamani

Swali: Kuna mtu amemtaliki mke wake na ameshazaa naye watoto na mke wake anataka kurudi katika nchi yake ya asili, ambayo ni ya kikafiri. Je, ana haki ya kufanya hivo?

Jibu: Haya ni magomvi – na magomvi yanarejeshwa kwa hakimu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (41)
  • Imechapishwa: 01/10/2023