Swali: Kuna kidhibiti gani kinachomfanya mtu kuwa fasiki kumnyima haki ya ulezi?

Jibu: Bi maana mtu anayefanya dhambi kubwa mbali na shirki. Muislamu anayefanya dhambi kubwa, mbali na shirki, ndiye fasiki. Kwa mfano uzinzi, unywaji pombe, wizi na kadhalika.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (41)
  • Imechapishwa: 01/10/2023