Amealikwa katika harusi mbili wakati mmoja

Swali: Mtu amealikwa katika harusi mbili wakati mmoja. Aende katika ipi?

Jibu: Anatakiwa kwenda katika ile harusi aliyoalikwa kwanza. Kwa sababu mwenyeji huyo ndiye ana haki zaidi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (41)
  • Imechapishwa: 01/10/2023