Swali: Ni ipi maana kwamba kufunga siku tatu kila mwezi ni kama kufunga mwaka mzima?

Jibu: Jema moja linalipwa mara kumi; kila siku moja analipwa thawabu kumi.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22775/معنى-ان-ثلاثة-ايام-كل-شهر-كصوم-الدهر
  • Imechapishwa: 19/08/2023