Swali: Ni ipi nasaha yako kwa mume anayemwamrisha mke wake avae mavazi ya mapambo na ya kuvutia pindi anapotoka nje ya nyumba yake?
Jibu: Huyu anaamrisha maovu na anakataza mema. Hii ni sifa ya wanafiki. Kutoka hali ya kuwa amejipamba, haya ni maovu. Anaamrisha maovu. Ni wajibu kwake kutubu kwa Allaah (´Azza wa Jall). Badala yake amwamrishe kujisitiri, kujiheshimisha na kuwa na hayaa wakati wa kutoka.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (52) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-10-18.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket