Kukata swawm ya Ramadhaan kwa ajili ya kustarehe na mume

Swali: Nilikuwa ni mwenye kufunga siku miongoni mwa masiku ya Ramadhaan lakini nikawa nimekula kwa mume wangu kunihitajia. Nina nini juu yangu?

Jibu: Haina neno. Kulipa kuna wakati mpana mpaka kabla ya kufika Ramadhaan nyingine. ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa) alikuwa na deni katika Ramadhaan na analichelewesha mpaka mwisho wa Sha´baan ili apate kumstarehesha Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (52) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-10-18.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020