Swali: Ni haki kwa mume kumzuia mkewe kusafiri kwenda kwa familia yake nje ya nchi hii?
Jibu: Ndio. Hatakiwi kusafiri isipokuwa kwa idhini yake. Hivyo ana haki ya kumzuia.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (04)
- Imechapishwa: 25/08/2020
Swali: Ni haki kwa mume kumzuia mkewe kusafiri kwenda kwa familia yake nje ya nchi hii?
Jibu: Ndio. Hatakiwi kusafiri isipokuwa kwa idhini yake. Hivyo ana haki ya kumzuia.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (04)
Imechapishwa: 25/08/2020
https://firqatunnajia.com/mume-ana-haki-ya-kumzuia-mkewe-kwenda-kwao/