Swali: Ni ipi hukumu ya kusema muheshimiwa (المكرم) fulani? Je, inazingatiwa ni kumtakasa?
Jibu: Hapana. Wewe humuheshimishi ndugu yako, wanachuoni na watawala? Watu wana heshima na nafasi zao. Amesema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema.
“Wateremsheni watu nafasi zao.”
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18257
- Imechapishwa: 19/07/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)