Mtu ambaye alimwongoza Zaynuu katika Salafiyyah

Shaykh Muhammad bin Jamiyl Zaynuu: Allaah akujaze kheri kwa yale uliyofanya kwa ajili ya Uislamu na waislamu. Wewe ndiye ulikuwa sababu ya kuongozwa kwangu katika Salafiyyah. Hilo nalikumbuka daima na kukuombea du´aa.

al-Albaaniy: Allaah akujaze kheri na akubali kutoka kwako.

  • Mhusika: Shaykh Muhammad bin Jamiyl Zaynuu
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Silsilat-ul-Hudaa wan-Nuur (915)
  • Imechapishwa: 19/07/2020