Swali: Ni ipi hukumu ya kusema muheshimiwa (المكرم) fulani? Je, inazingatiwa ni kumtakasa?

Jibu: Hapana. Wewe humuheshimishi ndugu yako, wanachuoni na watawala? Watu wana heshima na nafasi zao. Amesema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema.

“Wateremsheni watu nafasi zao.”

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18257
  • Imechapishwa: 19/07/2020