Swali: Mnyama mwenye tupu mbili anazingatiwa ni mwenye kasoro miongoni mwa kasoro za Udhhiyah?

Jibu: Je, katika wanyama wako ambao wana tupu mbili? Mimi sijui lakini hata hivyo nakujibu. Inafaa kumchinja ni mamoja awe dike, dume au mwenye tupu mbili. Wote hawa wanafaa kuchinjwa.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Silsilat-ul-Hudaa wan-Nuur (174)
  • Imechapishwa: 19/07/2020