Swali: Ni ipi tafsiri ya maneno ya Allaah (Ta´ala):

وَاصْبِرْ لِحُكْمِ رَبِّكَ فَإِنَّكَ بِأَعْيُنِنَا

“Na subiri kwa hukumu ya Mola wako, kwani hakika wewe uko kwenye macho Yetu.” (52:48)

Jibu: Ulinzi wa Allaah. Allaah anaona na macho Yake. Allaah anamuona na anamhifadhi. Allaah anamhifadhi, anamnusuru, anamsaidia.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (24) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tafsir-ayat-qrran-19-07-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 20/06/2020