Swali: Je, inajuzu kwa wazazi kuchukua matumizi kwa watoto ambao hawaswali?

Jibu: Ikiwa wazazi ni wahitaji na hawana matumizi na chumo hili ni la halali, si Ribaa wala chumo lingine la haramu, ni sawa kufanya hivo kwa kuwa wana haja ya kufanya hivo.

Mtoto anapaswa kumhudumia mzazi wake hata kama watakuwa na dini tofauti. Haki ya mzazi haikomeki na kumtendea wema.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (37) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-1-25.mp3
  • Imechapishwa: 20/08/2020