Swali: Kuhusiana na mtoto ambaye mkojo wake unahitaji kunyunyiziwa maji; ni mtoto ambaye anaweza kula chakula cha kawaida au kuishi kwa chakula cha kawaida?
Jibu: Anaishi kwa chakula cha kawaida na hahitajii maziwa. Ni yule ambaye anakula chakula cha kawaida.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340204.mp3
- Imechapishwa: 25/08/2020
Swali: Kuhusiana na mtoto ambaye mkojo wake unahitaji kunyunyiziwa maji; ni mtoto ambaye anaweza kula chakula cha kawaida au kuishi kwa chakula cha kawaida?
Jibu: Anaishi kwa chakula cha kawaida na hahitajii maziwa. Ni yule ambaye anakula chakula cha kawaida.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340204.mp3
Imechapishwa: 25/08/2020
https://firqatunnajia.com/mtoto-ambaye-mkojo-wake-unanyunyiziwa-maji/