Hapa ndipo itajuzu kujumuisha swalah kwa sababu ya mvua

Swali: Ni lini inajuzu kujumuisha kati ya swalah mbili kwa sababu ya mvua?

Jibu: Ni pale nguo zinalowa kwa sababu ya mvua. Akitoka nguo zinalowa. Hii ndio mvua ambayo inajuzisha kujumuisha baina ya swalah. Ama mvua ndogo tu haijuzishi kujumuisha swalah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340204.mp3
  • Imechapishwa: 25/08/2020