Mtoto ambaye mkojo wake unanyunyiziwa maji

Swali: Kuhusiana na mtoto ambaye mkojo wake unahitaji kunyunyiziwa maji; ni mtoto ambaye anaweza kula chakula cha kawaida au kuishi kwa chakula cha kawaida?

Jibu: Anaishi kwa chakula cha kawaida na hahitajii maziwa. Ni yule ambaye anakula chakula cha kawaida.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340204.mp3
  • Imechapishwa: 25/08/2020