Maji tu ndio yanaondosha najisi  

Swali: Maji ya kutu yanaondosha hadathi na yanakuwa masafi?

Jibu: Hapana. Maji tu ndio yanayoweza kuondosha hadathi na najisi. Maji ya kutu, petroli, gesi wala kitu kingine hakifanyi hivo. Kwa sababu sio maji. Ni vitu vya maji maji, lakini sio maji.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340204.mp3
  • Imechapishwa: 25/08/2020