Swalah katika mkeka ulio na najisi

Swali: Naweza kuswali kwenye upande mmoja wa mkeka ikiwa katika upande mwingine kuna najisi?

Jibu: Ndio. Ikiwa upande mmoja ndio una najisi na upande mwingine ni msafi swali kwenye upande huo. Haina neno. Najisi haisambai katika kitu kikavu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340204.mp3
  • Imechapishwa: 25/08/2020