Maji yanabadilika kwa sababu ya mabomba ya zamani

Swali: Baadhi ya mabomba ni ya zamani. Inatokea wakati fulani kunatoka manjano bombani kwa sababu ya kutu. Je, inafaa kutumia maji kama haya?

Jibu: Haina neno. Mfano wa mambo kama haya ni kama maji kubadilika kwa sababu ya mabomba au majani yenye kuingia ndani ya maji. Haidhuru. Wanachuoni wanasema ni vigumu kuepuka vitu kama hivi na maji. Hayadhuru.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340204.mp3
  • Imechapishwa: 25/08/2020