Mtoto aliyezaliwa na jicho moja

Swali: Kupitia programu za njia za mawasiliano ya kijamii tunapokea picha ya mtoto aliezaliwa kwa jicho moja. Watu wanasema kuwa ni al-Masiyh ad-Dajjaal. Ni ipi hukumu ya hili na vipi tutamraddi aliyetuma picha hiyi?

Jibu: Wanapatikana watu wenye jicho moja. Kila mwenye jicho moja tuseme kuwa ndio ad-Dajjaal? Hapana, si kweli.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kitaab Ahaadiyth-il-Fitnah http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/hadist%20fitan-17-08-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 21/04/2015