al-Fawzaan kuhusu mwenye hedhi kuhudhuria msikitini kwa ajili ya darsa

Swali: Ni ipi hukumu mwanamke mwenye hedhi kukaa Msikitini kwa ajili ya kuhudhuria duruus za kielimu?

Jibu: Hapana. Haijuzu kwa mwenye hedhi kukaa Msikitini, sawa ikiwa ni kwa ajili ya duruus au mengine. Ikiwa kusikiliza kufuatilia duruus azifuatilie kupitia vipaza sauti au mkanda.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kitaab Ahaadiyth-il-Fitnah http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/hadist%20fitan-17-08-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 21/04/2015