Swali: Kuna uchawi wa kiini macho peke yake au kuna na wa kikweli?
Jibu: Kuna aina mbili za uchawi; wa kikweli na wa kiini macho. Kuhusu Mu´tazilah na wanafalsafa wao wanapinga na kusema hakuna uchawi wa kweli, kuna uchawi wa kiini macho peke yake. Hili ni kosa. Uchawi aina zote mbili upo; wa kiini macho na wa kikweli.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (30) http://alfawzan.af.org.sa/node/2142
- Imechapishwa: 12/07/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket