Msimamo wa Mu´tazilah na wanafalsafa juu ya uchawi

Swali: Kuna uchawi wa kiini macho peke yake au kuna na wa kikweli?

Jibu: Kuna aina mbili za uchawi; wa kikweli na wa kiini macho. Kuhusu Mu´tazilah na wanafalsafa wao wanapinga na kusema hakuna uchawi wa kweli, kuna uchawi wa kiini macho peke yake. Hili ni kosa. Uchawi aina zote mbili upo; wa kiini macho na wa kikweli.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (30) http://alfawzan.af.org.sa/node/2142
  • Imechapishwa: 12/07/2020