Msimamo wa muislamu juu ya matusi kwa Mtume


Swali: Hivi karibuni limekithiri jambo la Mtume wetu (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kufanyiwa vibaya kwa sampuli mbalimbali kwa njia ya filamu, magazeti na njia nyinginezo. Ni upi msimamo wa ki-Shari´ah juu ya mambo hayo mabaya?

Jibu: Msimamo uko wazi. Jibuni hizo hoja tata, zisambaratisheni kwa haki iliyo wazi, bainisheni uharibifu wazo na uwongo wa aliyezisema.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/عليكم-بسنتي-وسنة-الخلفاء-الراشدين
  • Imechapishwa: 20/06/2022