Swali: Kuna hekima gani ya kuharamishwa nguo yenye kuvuka chini ya kongo mbili za miguu?
Jibu: Kwa sababu ni majivuno na mtu kuikweza nafsi yake. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Shuka yenye kuvuka chini ya kongo mbili za miguu ni Motoni.”
“Yule mwenye kuburuta nguo yake kwa majivuno basi Allaah hatomtazama siku ya Qiyaamah.”
- Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/عليكم-بسنتي-وسنة-الخلفاء-الراشدين
- Imechapishwa: 20/06/2022