Swali: Niliiba miwani nilipokuwa mdogo na bado nimeihifadhi. Sijui bei yake na nimesahau mahali nilipoiiba. Hivi sasa nimetubu kwa Allaah. Nifanye nini?
Jibu: Kadiria thamani yake na mtolee swadaqah mwenye nayo thamani hiyo pamoja na kutubia kwa Allaah.
- Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/عليكم-بسنتي-وسنة-الخلفاء-الراشدين
- Imechapishwa: 20/06/2022