Mafikio ya watoto wa makafiri


Swali: Nataka kujua hukumu ya watoto wa makafiri wanapokufa? Je, ni kama watoto wa waislamu – kama inavosemwa katika ndege wa Peponi – au inakuweje?

Jibu: Allaah ndiye ajuaye zaidi mafikio yao.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/عليكم-بسنتي-وسنة-الخلفاء-الراشدين
  • Imechapishwa: 20/06/2022