Swali: Nina dada aliyekuwa anaswali lakini baadaye akaacha swalah. Je, tumuunge pamoja na kujua ya kwamba tumeshamnasihi lakini haitikii?
Jibu: Ikiwa anaacha swalah kwa kukusudia basi anatoka katika dini. Ni wajibu kumsusa na kumkata. Asuswe na kukatwa mpaka atubu kwa Allaah (´Azza wa Jall) ikiwa hilo litasaidia. Ikiwa anahitajia kuhudumiwa muhudumieni kama ndugu. Ama ikiwa ni mtu ambaye hahitajii kuhudumiwa, mkateni na mumsuse mpaka atubu kwa Allaah (´Azza wa Jall).
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (72) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-10-14.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)