Swali: Niufanye nini msahafu mtukufu ambao makaratasi yake yamechanikachanika?

Jibu: Inajuzu kwako kuufukia kwenye ardhi ya msikiti wowote miongoni mwa misikiti iliyopo. Vilevile inajuzu kwako kuuchoma moto kwa kumuiga ´Uthmaan (Radhiya Allaahu ´anh).

  • Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (4/98)
  • Imechapishwa: 22/08/2020