Swali: Nimepata Qur-aan tukufu ambayo imechapishwa vibaya kwa njia ya mpangilio wa Suurah. Je, inajuzu kusoma ndani yake? Na ikiwa haijuzu mnanishauri kuufanya nini? Niuchome moto au niuweke wapi?

Jibu: Uchomwe moto au ufukie sehemu ambayo ni pasafi mbali na wanapopita watu na kutupa taka.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (4/99)
  • Imechapishwa: 22/08/2020