Inajuzu kumsikiliza mwanamke anayesoma Qur-aan?

Swali: Ni ipi hukumu ya kusikia kisomo cha mwanamke kilichorekodiwa?

Jibu: Inajuzu kwa wanawake tu kusikiliza. Inajuzu vilevile kwa wanaume ikiwa hilo halitopelekea katika fitina.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (4/126)
  • Imechapishwa: 22/08/2020